CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI -MoCU
KITUO CHA MAFUNZO KIZUMBI-SHINYANGA
Kinatangaza nafasi za masomo kwa Muhula wa masomo utakaoanza May 2017
Kozi zitolewazo:-
ASTASHAHADA(CERTIFICATE)-mwaka 1.
- Usimamizi wa asasi ndogo za kifedha(Certificate in Microfinance Management)CMF
- Usimamizi na Uhasibu(Certificate in Management and Accounting)CMA
- Uanzishaji na Uendelezaji wa Miradi(Certificate in Enterprises Development)CED
- Rasilimali watu na utawala(Certificate in Human Resource Management) CHRM
- Usimamizi wa asasi ndogo za kifedha(Diploma in Microfinance and Management)DMFM
- Usimamizi wa ushirika na Uhasibu(Diploma in Co-operative Management and Accounting)DCMA.
1.SIFA ZA KUJIUNGA NA CERTIFICATE
Waliomaliza Kidato cha nne na kufaulu masomo manne. Kwa kiwango cha D (4) na kuendelea.
2.SIFA ZA KUJIUNGA DIPLOMA.
- Awe na Principle 1 na Subsidiary 2
- Au awe na cheti cha kozi yoyote kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali
3. FOMU
ZA KUJIUNGA NA CHUO ZINAPATIKANA SEHEMU ZIFUATAZO:
- MoCU-Kituo cha Kizumbi Shinyanga
- MoCU-Moshi
- Wale wa degree unaweza kuomba kupitia TCU.maelekezo zaidi wasiliana nasi
PIGA SIMU ZIFUATAZO KWA
MSAADA WA HARAKA
0717 168419 /0754 568042/ 0713 634382
Kwa mawasiliano:-
Tuandikie barua
*MoCU Kituo cha Mafunzo KIZUMBI
P.O.BOX 579/469
SHINYANGA
Tunapatikana Manispaa
ya Shinyanga,
Kata ya Kizumbi,Barabara ya Tabora
umbali wa kilomita 6
kutoka
Shinyanga Mjini
(Simu): 028-2762860,
Fax: 028-2762697
Tovuti: www.mocu.ac.tz