Jumatatu, 7 Agosti 2017

CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI
KITUO CHA KIZUMBI
NAFASI ZA MASOMO KATIKA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI - KITUO
CHA
KIZUMBI - SHINYANGA
2017/2018
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi anayo furaha kuwatangazia watu
wote nafasi za masomo kwa Muhula mpya wa Mwezi wa Tisa
2017/2018 kwenye kituo cha kufundishia Kizumbi - Shinyanga
1. CERTIFICATE (Astashahada) Mwezi wa Tisa
Kozi zitolewazo ni :-
 Certificate in Enterprise Development (CED)
 Certificate in Management and Accounting (CMA)
 Certificate in Microfinance Management (CMF)
 Certificate in Human Resource Management (CHRM)
SIFA ZA MUOMBAJI NGAZI YA CERTIFICATE(ASTASHAHADA)
Muombaji awe amehitimu kidato cha Nne na kufaulu angalau masomo manne kwa
kiwango cha “D” na kuendelea.
2. DIPLOMA (Stashahada) - Mwezi wa Tisa
Diploma in Co-operative Management and Accounting (DCMA)
Diploma in Microfinance Management (DMFM)
SIFA ZA MUOMBAJI NGAZI YA DIPLOMA (STASHAHADA)
 Aliyemaliza kidato cha 6 na kufaulu angalau principal 1 na subsidiary 1, jumla ya pointi
ziwe zaidi ya 2.
 Au mwenye sifa nyingine zinazofanana kama vile mwenye astashahada ya mwaka
mmoja kutoka chuo kinachotambulika na Serikali na awe amefaulu masomo manne kwa
kiwango cha D na kuendelea kidato cha nne.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba zifuatazo; Landline 028 2762860 ,
FAX; 2762697,
Mobile; 0752552810, 0756288493, 0762536920, 0714949164, 0712 775691,
0787087413,

Ijumaa, 21 Agosti 2015

MBIO ZA MWENGE ZAFUNGUA MAKTABA MoCU - KITUO CHA MAFUNZO KIZUMBI

KAIMU MRATIBU WA MoCU - KITUO CHA KIZUMBI AKIPOKEA MWENGE WA UHURU
 MRADI WA MAKTABA ULIFUNGULIWA SIKU HIYO
 VIJANA WA SKAUTI WAKISUBIRI MWENGE
 WANANCHI WAKIBURUDIKA
 MAKAMU MKUU WA CHUO AKISUBIRI MWENGE
WANAFUNZI SHULE YA MSINGI NHELEGHANI WAKISUBIRI KUONA MWENGE
MAKAMU MKUU WA CHUO AKISOMA TAARIFA YA MRADI WA MAKTABA
ASKARI WAKILINDA MWENGE


MAKAMU MKUU WA CHUO MoCU AKIPOKEA MWENGE WA UHURU

BAADHI YA WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI WA MoCU - KIZUMBI

WANAFUNZI WA SEKONDARI KIZUMBI


MKUU WA WILAYA SHINYANGA (WA KATIKATI)
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AKIFUNGUA MAKTABA YA CHUO


MAKAMU MKUU WA CHUO AKITETA JAMBO NA MKUU WA WILAYA SHINYANGA

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AKITOA SALAMU ZA MWENGE


VIONGOZI WA MKOA SHINYANGA WAKIPATA CHAI CHUONI KIZUMBI
ENVIROCARE CLUB
KLABU YA MAZINGIRA WAKIWA NA MAKAMU MKUU WA CHUO
ENVIROCARE CLUB WAKIONYESHA CHETI WALICHOPEWA NA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE

Alhamisi, 20 Agosti 2015

 MKUU WA MKOA SHINYANGA AKIWEKA JIWE LA MSINGI LA MAKTABA YA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI-KITUO CHA KIZUMBI



 MKUU WA WILAYA SHINYANGA PAMOJA NA MRATIBU WA KITUO CHA MAFUNZO -KIZUMBI
 MKUU WA WILAYA SHINYANGA, MKUU WA MKOA SHINYANGA PAMOJA NA MRATIBU WA KITUO CHA MAFUNZO MoCU-KIZUMBI

 WAFANYAKAZI WA MoCU -KIZUMBI WAKIWA NA VIONGOZI WA MKOA SHINYANGA MARA BAADA YA KUWEKA JIWE LA MSINGI LA MAKTABA YA CHUO

 MRATIBU WA KITUO AKIZUNGUMZA JAMBO NA WALIMU WA CHUO


Jumatatu, 29 Juni 2015

NAFASI ZA MASOMO.MoCU-KITUO CHA MAFUNZO KIZUMBI


CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI -MoCU

)
KITUO CHA MAFUNZO KIZUMBI-SHINYANGA

Kinatangaza nafasi za masomo kwa Muhula wa masomo utakaoanza May 2017

Kozi zitolewazo:-

ASTASHAHADA(CERTIFICATE)-mwaka 1.
  • Usimamizi wa asasi ndogo za kifedha(Certificate in Microfinance Management)CMF
  • Usimamizi na Uhasibu(Certificate in Management and Accounting)CMA
  • Uanzishaji na Uendelezaji wa Miradi(Certificate in Enterprises Development)CED 
  • Rasilimali watu na utawala(Certificate in Human Resource Management) CHRM 
STASHAHADA(DIPLOMA)-miaka 2 .
  • Usimamizi wa asasi ndogo za kifedha(Diploma in Microfinance and Management)DMFM
  • Usimamizi wa ushirika na Uhasibu(Diploma in Co-operative Management and Accounting)DCMA.

1.SIFA ZA KUJIUNGA NA CERTIFICATE 

Waliomaliza Kidato cha nne na kufaulu masomo manne. Kwa kiwango cha D (4) na kuendelea.


2.SIFA ZA KUJIUNGA DIPLOMA.

  • Awe na Principle 1 na Subsidiary 2
  • Au awe na cheti cha kozi yoyote kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali

3. FOMU ZA KUJIUNGA NA CHUO ZINAPATIKANA SEHEMU ZIFUATAZO:
  • MoCU-Kituo cha  Kizumbi Shinyanga
  • MoCU-Moshi
  • Wale wa degree unaweza kuomba kupitia TCU.maelekezo zaidi wasiliana nasi 
PIGA SIMU ZIFUATAZO KWA MSAADA WA HARAKA

0717 168419  /0754 568042/   0713 634382
Kwa mawasiliano:- Tuandikie barua

 *MoCU Kituo cha Mafunzo KIZUMBI

    P.O.BOX 579/469
  SHINYANGA

Tunapatikana Manispaa ya Shinyanga, 
Kata ya Kizumbi,Barabara ya Tabora
 umbali wa kilomita 6 
kutoka Shinyanga Mjini
  (Simu): 028-2762860,

    Fax:  028-2762697



Tovuti: www.mocu.ac.tz