Jumatatu, 7 Agosti 2017

CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI
KITUO CHA KIZUMBI
NAFASI ZA MASOMO KATIKA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI - KITUO
CHA
KIZUMBI - SHINYANGA
2017/2018
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi anayo furaha kuwatangazia watu
wote nafasi za masomo kwa Muhula mpya wa Mwezi wa Tisa
2017/2018 kwenye kituo cha kufundishia Kizumbi - Shinyanga
1. CERTIFICATE (Astashahada) Mwezi wa Tisa
Kozi zitolewazo ni :-
 Certificate in Enterprise Development (CED)
 Certificate in Management and Accounting (CMA)
 Certificate in Microfinance Management (CMF)
 Certificate in Human Resource Management (CHRM)
SIFA ZA MUOMBAJI NGAZI YA CERTIFICATE(ASTASHAHADA)
Muombaji awe amehitimu kidato cha Nne na kufaulu angalau masomo manne kwa
kiwango cha “D” na kuendelea.
2. DIPLOMA (Stashahada) - Mwezi wa Tisa
Diploma in Co-operative Management and Accounting (DCMA)
Diploma in Microfinance Management (DMFM)
SIFA ZA MUOMBAJI NGAZI YA DIPLOMA (STASHAHADA)
 Aliyemaliza kidato cha 6 na kufaulu angalau principal 1 na subsidiary 1, jumla ya pointi
ziwe zaidi ya 2.
 Au mwenye sifa nyingine zinazofanana kama vile mwenye astashahada ya mwaka
mmoja kutoka chuo kinachotambulika na Serikali na awe amefaulu masomo manne kwa
kiwango cha D na kuendelea kidato cha nne.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba zifuatazo; Landline 028 2762860 ,
FAX; 2762697,
Mobile; 0752552810, 0756288493, 0762536920, 0714949164, 0712 775691,
0787087413,

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni